Apollo 11 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 8:
* moduli ya huduma ''(service module)'' penye injini, matangi ya [[fueli]] na [[oksijeni]], vifaa vya [[mawasiliano]]
* moduli ya [[feri ya mwezi]] yaani chombo cha kufikisha wanaanga wawili kwenye uso wa mwezi na kuwarudisha baadaye kwenye moduli ya jukwaa
[[Picha:Apollo 11 Launch - GPN-2000-000629.jpg|thumb|Apollo 11.]]
 
Sehemu ya jukwaa pekee ilikuwa na oksijeni na shinikizo la [[hewa]] kama [[duniani]] na hapa wananga waliweza kukaa bila kuvaa [[suti za anga]].