Kaizari Joseph II : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Joseph II''' ([[13 Machi]] [[1741]] – [[20 Februari]] [[1790]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Ujerumani]] kuanzia [[1765]] hadi [[kifo]] chake. Alimfuata [[baba]] yake, [[Kaizari Francis I|Francis I]], na kufuatwa na mdogo wake, [[Kaizari Leopold II|Leopold II]].
 
[[Sera]] zake katika [[utawala]] [[Austria]] peke yake miaka [[1780]]-[[1790]] zimeitwa ''[[Ujosefu]]'' (au ''Josefini''). Sera hizo zilifuata [[falsafa ya mwangaza]] na kuingilia na kubana [[mamlaka]] ya [[Kanisa]] katika mambo mengi, hata madogo sana.
 
Kwa sababu hiyo alilaumiwa vikali na [[Kanisa Katoliki]] na kuhusianishwa na tapo la [[Wamasoni]].