Thamani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Thamani''' ni kiasi gani kitu kinafaa. Mara nyingi njia bora ya kupata thamani ya kitu ni kutumia bei ambayo inaweza kuuzwa. Hata hivyo, Oscar Wild...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Thamani''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni kiasi gani [[kitu]] kinafaa. Mara nyingi njia bora ya kupata thamani ya kitu ni kutumia [[bei]] ambayo inaweza kuuzwa. Hata hivyo, [[Oscar Wilde]] aliandika kuwa 'watu wanajua bei ya kila kitu lakini hawajui thamani' - kwa maneno mengine thamani ya kweli haitegemei [[fedha]] pekeyakepeke yake.
 
Katika [[hesabu]], thamani ni [[namba]] ambayo ni [[halisi]], kitu ambacho kila mtu anaweza kukubaliana nacho. Hata hivyo [[Mtu|watu]] wanaweza kutokubaliana juu ya thamani ya [[maji]], kulingana na ukiishikwamba wanaishi [[jangwa]]ni au karibu na [[mto]]. Kutokubaliana juu ya thamani ya vitu kunaweza kuunda mapambano kati ya [[mataifa]], [[vyama]] vya [[siasa]], [[dini]], nkn.k.
 
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Uchumi]]