Thamani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Thamani''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni kiasi gani [[kitu]] kinafaa. Mara nyingi njia bora ya kupata thamani ya kitu ni kutumia [[bei]] ambayo inaweza kuuzwa. Hata hivyo, [[Oscar Wilde]] aliandika kuwa 'watu wanajua bei ya kila kitu lakini hawajui thamani' - kwa maneno mengine thamani ya kweli haitegemei [[fedha]] peke yake.
 
Katika [[hesabu]], thamani ni [[namba]] ambayo ni [[halisi]], kitu ambacho kila mtu anaweza kukubaliana nacho. Hata hivyo [[Mtu|watu]] wanaweza kutokubaliana juu ya thamani ya [[maji]], kulingana na kwamba wanaishi [[jangwa]]ni au karibu na [[mto]]. Kutokubaliana juu ya thamani ya vitu kunaweza kuunda mapambano kati ya [[mataifa]], [[Chama cha kisiasa|vyama]] vya [[siasa]], [[dini]], n.k.
 
{{mbegu-uchumi}}