Bukoba (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
 
}}
'''Bukoba''' ni [[manisipaa]] katika nchi ya [[Tanzania]] ambayo ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Yenyeyenye [[postikodi]] [[namba]] '''35100''' <ref>https://sw.wikipedia.org/wiki/Mfumo_wa_Msimbo_wa_Posta_Tanzania</ref>. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya [[wilaya]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba Municipal Council]</ref>.
 
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni; likaendelea kuwa makao makuu ya [[mwakilishi mkazi]] Mjerumani katika falme ndogo za Karagwe, Washubi na Wahaya ambazo hazikuingizwa bado moja kwa moja katika koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]].