Wilaya ya Ilala : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dar es Salaam Tanzania Samora Avenue around Daily News office.JPG|thumb|250px|Mtaa wa Samora ni kati ya barabara kuu za kitovu cha jiji]] '''Wilaya ya Ilala''' ni [[wilaya]] moja ya [[Mkoa wa Dar es Salaam]],[[Tanzania]] yenye [[postikadi]] [[namba]] '''1210112000''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/dsm.pdf</ref>. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1634,220,611 [http://www.nbs.go.tz/index.php?option=com_phocadownload&view=category&id=88:village-stat&Itemid=106]924. Eneo lake ni 273 [[km²]].
 
Ilala yenyewe inahesabiwa kama [[manispaa]] ya Ilala ndani ya [[jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Inajumlisha kitovu cha kihistoria cha Dar es Salaam ambako kuna ofisi nyingi za serikali pamoja na makampuni makubwa na maduka. Nafasi ya kitovu chenyewe ni [[sanamu ya askari]]; mitaa mingine maarufu ni [[Kariakoo]], [[Buguruni]], [[Kivukoni]] na kando lake iko [[Pugu]].
 
==Marejeo==
{{Kata za Wilaya ya Ilala}}
{{mbegu-jio-tTZ}}
 
[[Jamii:Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam|I]]
[[Jamii:Wilaya ya Ilala| ]]
[[Jamii:Mkoa wa Dar es Salaam]]