Hannover : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
Maendeleo ya kisasa yalifika mjini kwa kujengwa kwa taa za gesi kwenye mitaa ya mjini mwaka 1825 ilikuwa mji wa kwanza wa Ulaya uliopata taa za gesi mtaani. Reli ya kwanza iliunganisha Hannover na miji ya jirani mwaka 1843. Kuwa sehemu ya nchi kubwa ya Prussia iliongeza nafasi za kiuchumi za mji na idadi ya wakazi ilikua haraka. Mwaka 1871 walikuweko wakazi 87,000 na mwaka 1912 313,000.
 
Mji ulikuwa na viwanda vingi; kati ya makampuni makubwa yako hadi leo [[Volkswagen]] (motokaa), Continental (matairi) na, Bahlsen (vyakula), Talanx, VHV na Hannover Re (Bima).
 
Wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]] sehemu kubwa za mji ziliharibiwa na mabomu. Tangu 1946 ilikuwa Hannover mji mkuu na makao ya serikali ya jimbo la Nidersachsen ikaendelea kukua hadi kupita nusu milioni ya wakazi.