Nyambono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wa wa --> wa using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Nyambono''' ni kata ya [[Wilaya ya Musoma Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mara]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''31216'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/mara.pdf</ref>. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,106 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Mara - Musoma-District-Council]</ref>
 
Kata ya Nyambono inaundwa na vijiji vya Bugoji, Nyetasho, Kanderema, Kaburabura na Saragana ambapo ndiyo makao makuu ya kata. Sensa ilionyesha kuwa Nyambono ina idadi ya watu 18,106 wanaume 8,888 na wanawake 9,218. Wenyeji wa kata hii ni [[Wajita]] na shughuli zao za kiuchumi ni kilimo cha mazao ya chakula na biashara kama vile [[pamba]], [[mahindi]] n.k, pia wanajishughulisha na biashara ndogondogo. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na upatikanaji wa mawasiliano ya simu kama vile Airtel na Vodacom. Kuna usafiri wa kila siku wa kwenda na kurudi Bunda. Pia wana zahanati ambayo hivi Karibuni imepandishwa hadhi kuwa kituo cha afya,