Mtemi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Mtemi''' ni [[cheo]] cha [[mtawala]] wa [[jadi|kijadi]] hasa upande wa [[bara]] yawa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] ambaeambaye hapo zamani alitawala [[dola]] yenyelenye [[mamlaka]] kamili katika nchi yenye [[watu]] hasa wa [[jamii]] moja. Mfano mmojawapo ni [[Mtemi Mirambo]].
 
==Etimolojia==
[[Neno]] mtemi au ntemi hutumiwa na [[lugha]] za [[Kabila|makabila]] ya kati ya [[Tanzania]], kwa mfano [[Kisukuma]], Kigogo[[Kinyamwezi]] na Kinyamwezi[[Kigogo]] likimaanisha mtawala, pia kwa kibena[[Kibena]] huitwa Mtema, yote yakitokananayakitokana na masdari ya kibantu[[Kibantu]] -tem-a, likimaanisha tawala.
 
hakunaHakuna [[tafsiri]] ya moja kwa moja ya kiswahili[[Kiswahili]] ya neno mtemi, hivyo lilikopwa kutoka lugha hizo kama lilivyo na kufasiriwa zaidi kimuktadha kwa kukosa tafsiri ya kisemantikia.
mfano:
 
*Wakati wa majilio ya [[Waarabu]] na biashara ya utumwa lilifasiriwa kama [[Sultani]]
Kwa mfano:
*Wakati wa [[Wamisionari]] na [[Wapelelezi]] lilifasiriwa zaidi kama Sultani, [[Mfalme]] au Chifu kwa kuhusisha Uwiano wa kidini, Ukubwa wa milki na Ushawishi wa kisiasa wa Watemi mbalimbali
*Wakati wa majilio ya [[Waarabu]] na [[biashara ya utumwa]] lilifasiriwa kama [[Sultani]]
*Wakati wa [[Ukoloni]] lilifasiriwa zaidi kama Chifu ili kuweka tofauti baina ya Mfalme wa Mabwana wa kikoloni na Watwana wa kiafrika
*Wakati wa [[Wamisionariwamisionari]] na [[Wapeleleziwapelelezi]] lilifasiriwa zaidi kama Sultani, [[Mfalme]] au [[Chifu]] kwa kuhusisha Uwianouwiano wa kidini, Ukubwaukubwa wa [[milki]] na Ushawishiushawishi wa kisiasa wa Watemi mbalimbali
*Baada ya Ukoloni hadi hivi sasa hufasiriwa zaidi kama Chifu au Mtemi
*Wakati wa [[Ukoloniukoloni]] lilifasiriwa zaidi kama Chifu ili kuweka tofauti baina ya Mfalme wa Mabwana wa kikoloni na Watwana wa kiafrikaKiafrika
*Baada ya Ukoloniukoloni hadi hivi sasa hufasiriwa zaidi kama Chifu au kuachwa lilivyo, Mtemi.
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
 
[[Jamii:Cheo]]