Mecklenburg-Pomerini Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 4:
[[Picha:Flag of Mecklenburg-Western Pomerania.svg|thumb|bendera ya Mecklenburg-Pomerini]]
'''Mecklenburg-Pomerini Magharibi''' (''[[Kijerumani]]: Mecklenburg-Vorpommern'') ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya [[Ujerumani]] lenye wakazi milioni 1,652 kwenye eneo la 23.180 km². Mji mkuu ni [[Schwerin]]. Waziri mkuu ni [[Erwin Sellering]] ([[SPD]]).
 
==Jina==
Jimbo hili linaunganisha eneo la [[Mecklenburg]] ya kihistoria na sehemu za jimbo la Kijerumani la awali yaani [[Pomerini]] zilizobaki upande wa Ujerumani baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia ambako maeneo makubwa katika mashariki yalitengwa na Ujerumani na kupelekwa Poland.
 
== Jiografia ==