Meza (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image: Mesa Mensa.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Mesa (Fornax ) katika sehemu yao ya angani]]
[[Picha:Mensa constellation map.png|thumb|300px|Ramani ya Meza (LMC= Large Magellan Claoud = Wingu Kubwa la Magellan)]]
'''Mesa''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''[[:en: Mensa|Mensa]]'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Mensa " katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Mensae" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Mensae, nk. </ref> ni [[jina]] la [[kundinyota]] ndogo kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya [[Dunia]] yetu.
 
Line 14 ⟶ 15:
Nyota za Mesa ni chache na dhaifu sana. Hakuna nyota iliyo na mwangaza juu ya [[mag]] 5. Nyota angavu zaidi ni Alpha Mensae yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa mag 5.09 ikiwa na umbali wa [[miaka ya nuru]] 33 kutoka [[Dunia]].<ref>[ http://simbad.u-strasbg.fr/simbad/sim-basic?Ident=alpha+mensae&submit=SIMBAD+search LTT 2490 -- High proper-motion star"] SIMBAD. Centre de Données astronomiques de Strasbourg. Iliangaliwa Septemba 2017. </ref>
 
[[Wingu kubwaKubwa la Magellan]] liko mpakani wa Mesa na [[Panji (kundinyota)| Panji]] (Dorado). Kuwepo kwake ilimhamasisha Lacaille kuchagua jina la « Mlima wa Meza » kwa sababu mlima huu huwa na wingu juu yake akiona mfano wake hapa angani.
 
==Tanbihi==