Benki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Capitalizing the sentences.
Mstari 5:
Asili ya benki ilikuwa biashara ya wakopeshaji fedha. Siku hizi kuna benki za aina mbalimbali pamoja na
 
* benkiBenki za kibiashara ambazo ni makampuni yanayolenga kupata faida kubwa kwa kutoa huduma za kifedha. Benki hizi zinashughulika mawasiliano kati ya watu au makampuni yenye pesa za ziada na watu au makampuni wanaohitaji pesa.
 
* benkiBenki za ushirika ambazo mara nyingi hazilengi faida kubwa lakini huduma kwa wateja wasio na pesa nyingi; benki hizi zinapokea pia kiasi kidogo cha pesa na kutoa mikopo kwa wajenga nyumba au wafabyabiashara wadogo. Benki hizi hutumia mfumo wa uekezaji pesa ili kujikuza pamoja na wateja wao<ref>http://morethanfinances.com/patrick-mackaronis-explains-three-benefits-early-401k-investing/</ref>.
 
*Benki kuu ambayo kwa kawaida ni taasisi ya serikali inayosimamia utoaji wa pesa taslim na kiasi cha pesa inayopatikana sokoni kwa jumla. Inasimamia pia kazi ya benki za kibiashara na kiushirika.