Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

8 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
d
small edit.
d (Health benefits)
d (small edit.)
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] (hiyo iwe katika asilimia ndogo sana).
 
Pia anatakiwa awe safi kimwili na kimazingira, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka. Mandhari yenye [hewa safi pia husaidia katika kuhifadhi afya ya binadamu katika mwili na akili.<ref>http://www.selfgrowth.com/articles/how-to-improve-your-mind-and-body-with-fresh-air hewa safi] pia husaidia katika kuhifadhi afya ya binadamu katika mwili na akili.</ref>
 
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.