Afya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d small edit.
No edit summary
Mstari 4:
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia, bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye virutubisho[[virutubishi]] vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] (hiyo iwe katika [[asilimia]] ndogo sana).
 
Pia anatakiwa awe safi kimwilikatika mwili na kimazingiramazingira yake, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka. Mandhari yenye [[hewa]] safi pia husaidia katika kuhifadhi afya ya binadamu katika mwili na akili.<ref>http://www.selfgrowth.com/articles/how-to-improve-your-mind-and-body-with-fresh-air</ref>
 
Pia tunatakiwaanatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana na wengine, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.
 
== Fafanuzi za afya ==
Mstari 32:
 
==Viungo vya nje==
{{Wiktionary|Health}}
{{Wikiquote|Health}}
* [http://www.who.int World Health Organization]
* [http://www.nhs.uk UK National Health Service]