Bodi ya saketi iliyochapishwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 47 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q173350 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Splatine.jpg|350px|thumb|Bodi ya saketi yenye mashimo na vifaa, pande zote mbili]]
{{mergefrom|Utengenezwaji wa bodi ya sakiti|date=Agosti 2010}}
[[Picha:Bestueckungsdruck.jpg|350px|thumb|Bodi ya saketi iliyochapishwa, bila vifaa]]
{{Redirect|PCB}}
'''Bodi ya sakitisaketi iliyochapishwa''' ama (''[[:en:Printed Circuitcircuit Boardboard]] - (PCB''), ni bodi inayotumika kwa shughuli za kimekanika ambazo husaidia kuwaunganishakuunganisha vifaa vya umemekielektroniki pamojakama navile elektroniki. Bodi hizi huwa[[transista]] na njia nyembamba zinazotumika kupitisha umemevingine. Pia inajulikana kama ubao wa waya zilizochapishwa ama "Printed wiring board (PWB).".
 
Bodi hizi kwa kawaida ni bapa la plastiki au karatasi imara au mata nyingini isiyopitisha umeme. Juu yake kuna njia nyembamba za kupitisha umeme zinazochapishwa.
PCBs ni inexpensive, na zinaweza kuaminika sana. Bodi hizi huhitaji juhudi kubwa ya muonekano wake na gharama kubwa za awali kuliko njia nyingine za kawaida. Pia ni rahisi sana na uzalishwaji wake ni wa kasi na pia kwa ujazo mkubwa zaidi. Viwanda vingi vya vifaa vya elektroniki wabunifu wa Bodi zilizochapishwa, waunganishaji wa vifa husikawadhibiti wa ubora wa vifaa hivi huratibiwa na shirika lijulikanalo kama IPC
 
Baadaye transista na vifaa vingine vinawekwa kwenye nafasi zilizoandaliwa na kufungwa kwa njia ya kulehemu (soldering). Zamani bodi ilikuwa na mashimo kwa kuweka vifaa, siku hizi teknolojia hii inatumiwa kwa vifaa vikubwa tu au kama ni bodi chache tu zinazotengenezwa. Siku hizi vifaa vinafungwa juu ya bodi tu na hii inapunguza ukubwa kwa bodi. Kazi hii inatekelezwa kwa jumla hasa kwa mashine maana vifaa vimekuwa vidogo mno.
 
Bodi za saketi zinatengenezwa kirahisi na siku hizi zinapatikana katika kila kifaa cha umeme kama ni tochi, simu, friji, pampu au kompyuta.
 
Bodi za saketi hupangwa kwa njia maalumu kwa kila kifaa na kila kazi. Siku hizi huchorwa kwa kutumia programu za kompyuta kama CAD.
 
==Historia==
Mvumbuzi wa Bodi za sakitisaketi zilizochapisha aliejulikana kwa jina la PauloPaul Eisler (1907-1995) aliyekuwa raia wa Austria, pindi alipokuwa akifanya kazi nchini Uingereza, alipoifanya moja ya circa 1936 kama sehemu ya redio. Mnamo miaka ya 1943 Marekani ilianza kutumia teknolojia ya juu kwa kiasi kikubwa kuzalisha redio zilizzotumikazilizotumika katka [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Baada ya vita, kunako miaka ya 1948, teknolojia hiyo ilitolewa kwa ajili ya matumizi ya kibiashara katikati ya miaka ya 1950, baada ya mchakato Jotoridi Sembly ilitengenezwa na Jeshi la Marekani.
 
 
<!--
Line 30 ⟶ 37:
-->
 
[[Jamii:TeknolojiaElektroniki]]