Vita ya Korea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Ilianzishwa na [[Korea ya Kaskazini]] iliyovamia [[Korea ya Kusini]]. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa na [[Jamhuri ya Watu wa China]] na [[Umoja wa Kisovyeti]]. Korea ya Kusini ilisaidiwa na [[Marekani]] hasa. Lakini Marekani ilishiriki katika vita hii kwa jina la [[Umoja wa Mataifa]] pamoja na wanajeshi wa nchi 16.
 
Katika miaka mitatu ya vita hii mapigano ya maadui yalifika karibu kila sehemu ya [[rasi ya Korea]] na mateso ya wanachi raia pia ya wanajeshi kwenye pande zote yalikuwa mabaya sana. Si rahisi kutaja idada ya wahanga wote<ref>Sehemu ya watu raia waliuawa ovyo na jinai hizi hazikutolewa taarifa kamili; kila upande ulijaribu kupanusha iadi ya wafu wa wanajeshi wa upande mwingine na kupunguza idadi ya wafu wao wenyewe</ref>, lakini makadirio yanataja karibu milioni 4 watu raia na wanajeshi hadi milioni 1. <ref>linganisha hitimisho ya Xu Yan [https://web.archive.org/web/20110715215412/http://www.nyconsulate.prchina.org/eng/xw/t31430.htm Korean War: In the View of Cost-effectiveness] tovuti ya Konsuli kuu ya Jamhuri ya China New York, iliangaliwa Aprili 2017</ref>
 
== Awamu nne za vita ==