Arthur Schopenhauer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 78 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q38193 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 1:
Arthur Schopenhauer (22 Februari 1788 - 21 Septemba 1860) alikuwa mwanafalsafa wa Ujerumani. Yeye anajulikana zaidi kwa kazi yake ya 1818 Dunia kama Dhamira na Uwakilishi "The World as Will and Representation" (kupanuliwa mwaka wa 1844), ambako anafafanua ulimwengu wa matukio kuwa uzao wa dhamira kipofu ya kimetafizikia isiyotoshelezeka. Kungoa nanga kutoka kwa dhana ya "transcendental idealism" ya Immanuel Kant, Schopenhauer alianzisha mfumo wa kimetafizikia na wa kimaadili ambao haukuwa na Mungu ambao umeelezewa kuwa mfano wa falsafa ya usononi (philosophical pessimism), kukataa falsafa za warika wenzake walionenea idealism ya Ujerumani (German Idealism) walioyopevua kutoka kwa Kant. Schopenhauer alikuwa miongoni mwa wasomi wa kwanza katika falsafa ya Magharibi kushiriki na kuthibitisha madhehebu muhimu ya falsafa ya Mashariki (kwa mfano, uepukukaji anasa, ulimwengu-kama-ono), baada ya kufikia hitimisho sawa kama wao baada ya matokeo ya kazi yake ya falsafa.
'''Arthur Schopenhauer''' ([[22 Februari]] [[1788]] - [[21 Septemba]] [[1860]]) alikuwa mwanafalsafa wa [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza mapenzi ya [[binadamu]].
 
{{Mbegu-mtu}}