Klorini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
'''Chlorini''' (tamka: klorini) ni elementi yenye [[namba atomia]] 17 katika [[mfumo radidia]] maana yake [[kiini atomia]] chake kina [[protoni]] 17. [[Uzani atomia]] ni 35.453 na alama yake '''Cl'''. Ni elementi ya pili katika safu ya [[halojeni]].
 
Katika hali sanifu ni gesi yenye rangi njanokijani. Inamenyuka haraka na elementi nyingine na kwa wanyama piana watubinadamu ni sumu.
 
Inapatikana kwa wingi katika maji ya [[bahari]] kama sehemu ya chumvi ya kawaida [[NaCl]] na pia ndani ya humvi ya KCl.
Mstari 25:
Matumizi yake ni kusafisha maji au kung'arisha karatasi kiwandani. Imewahi kutumiwa kama sehemu ya silaha kama gesi ya sumu.
 
Chlorini inapotumika kusafisha [[maji]], kuna uwezekano kwamba elementi za chlorini hubaki pale kwenye maji. Hivyo basi kuna mbinu mwafaka ambazo hutumika ili kusafisha hayo maji na kuondoa harufu na pia elementi za chlorini. Mfano wa baadhi ya hizi mbinu ni [[uvukizi]], [[klorini dioxide]], kubadili myonzo, na njia ya kuchuja.
<gallery>
image:Chlor amp.jpg|Chlorini katika chupa
image:Chlor_1a.jpg
</gallery>
 
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.osmowaterfilters.com/does-reverse-osmosis-remove-chlorine/ Jinsi ya kuondoa Chlorini kwenye maji]
 
{{mbegu-kemia}}