Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

9 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[File:Borch Lady washing hands.jpg|thumb|200px|[[Mwanamke]] akinawa [[mikono]] [[1655]] hivi.]]
[[File:Smallpox eradication team.jpg|right|thumb|200px|[[Donald Henderson]] na wenzake katika kukinga watu dhidi ya [[ndui]] mwaka [[1966]].]]
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], ki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia, bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya. Hiyo inajumuisha mlo kamili, yaani [[chakula]] chenye [[virutubishi]] vyote, vikiwemo [[protini]], [[wanga]] na [[fati]] (hiyo iwe katika [[asilimia]] ndogo sana).
 
Pia anatakiwa awe safimsafi katika mwilimwilini na mazingira yake, kama vile kwa kuoga na kusafisha mazingira yanayomzunguka. Mandhari yenye [[hewa]] safi pia husaidia katika kuhifadhi afya ya binadamu katika mwili na akili.
 
Pia anatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana na wengine, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]: mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.