Tofauti kati ya marekesbisho "Izazi"

51 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (→‎top: wa wa --> wa; new lines; double spaces using AWB)
No edit summary
 
'''Izazi ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]] yenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 51217. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,281 waishio humo.<ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref>
Kwa sasa imebaki na vijiji vitatu tu, yaani Izazi, [[Makuka]] na [[Mnadani]], vyote vikiwa katika [[Bonde la Ufa]] kwenye [[bwawa la Mtera]] (ambalo likijaa kabisa liko katika [[mita]] 698.5 juu ya [[usawa wa bahari]]). Ni sehemu ya chini zaidi katika [[Nyanda za Juu]] Kusini mwa Tanzania.
1,346

edits