Nyang'oro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Replacements: fix URL prefix
No edit summary
Mstari 1:
'''Nyang'oro ''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[tarafa ya Ismani]] [[Wilaya ya Iringa Vijijini]] katika [[Mkoa wa Iringa]], [[Tanzania]] yenye [[Postikodi Tanzania|Postikodi namba]] 51220. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa 2[[0]]12, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,810 waishio humo. <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Iringa Region- Iringa District Council]</ref>
Ni eneo maarufu kwa [[kilimo]] hasa cha [[mahindi]], ingawa ardhi imechoka kutokana na matumizi makubwa, hasa katika [[miaka ya 1950]] na [[miaka ya 1960|1960]], Ismani peke yake ilipokuwa inaweza kuzalisha kuliko Tanzania nzima.