Longido : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Longido''' ni mji mdogo na makao makuu ya [[Wilaya ya Longido]] katika [[Mkoa wa Arusha]] upande wa kaskazini wa [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''23501'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/arusha.pdf</ref>. Iko kwenye barabarani katikati ya miji ya [[Arusha (mji)|Arusha]] na [[Namanga]] mpakani na Kenya.
 
Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,285 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Arusha - Longido DC]</ref> walioishi humo.