Liturujia ya Canterbury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14:
Tarehe [[9 Desemba]] [[2009]], Benedikto XVI alitoa hati ''[[Anglicanorum Coetibus]]'', iliyoweka taratibu za uanzishaji wa majimbo yasiyopakana na majimbo ya kawaida ya Kilatini kwa Wakristo wa namna hiyo<ref>[http://ncronline.org/news/faith-parish/new-ordinariate-and-1980-pastoral-provision-analysis Jerry Fiteau, "New ordinariate and 1980 pastoral provision: An analysis"]</ref>, na kufikia mwisho wa mwaka [[2015]] parokia zote zilizoanzishwa kabla ya hapo isipokuwa 2 zimejiunga na jimbo la Kimarekani. Mkutano maalumu kwa ajili hiyo ulifanyika tarehe 8-10 Novemba 2012<ref>[http://anglicanuseconference.com/ 2012 Anglican Use Conference]</ref>.
 
Kwa niaba ya [[Papa]], [[Idara ya Ibada ya Kimungu]] ilipitisha ''the Book of Divine Worship'' kwanza mwaka [[1984]], halafu moja kwa moja mwaka [[1987]].<ref name=Barker/> Kuanzia tarehe [[29 Novemba]] [[2015]] nafasi yake imeshikwa na "Divine Worship: The Missal".
 
Ibada nyingine kwa ajili ya [[ndoa]] na [[mazishi]] zilipitishwa na idara hiyo tarehe [[22 Juni]] [[2012]]<ref>http://www.anglicanuse.org/</ref>.