Liturujia ya Antiokia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:HolyqurbonoSehion.jpg|thumb|[[Liturujia ya Kimungu]] ikiadhimishwa katika [[monasteri]] ya [[Mwinjili Marko|Mt. Marko]].]]
'''Liturujia ya Antiokia''', inayoitwa pia '''Liturujia ya Siria''', ni [[jina]] la taratibu za [[ibada]] ya [[Wakristo]] ambayo ina [[asili]] yake katika [[mji]] wa [[Antiokia]] wa [[Siria]] (siku hizi umo katika mipaka ya [[Uturuki]]) ambao katika [[karne ya 1]] ulikuwa kituo kikuu cha [[umisionari]] wa [[Kanisa]], halafu ukawa na [[shule ya Antiokia|shule ya]] [[teolojia]] muhimu kama ile shindani ya [[Aleksandria]] ([[Misri]]).
 
Wanaotumia liturujia hiyo ni hasa [[Kanisa la Kiorthodoksi la Siria]] na [[madhehebu]] yenye uhusiano naye [[Historia|kihistoria]] (hasa matawi ya [[Kanisa la Kiorthodoksi la Kisiria la Malankara]] kutoka [[India]]), na yale yaliyotokana nalo, yakiwa pamoja na [[Kanisa Katoliki la Kisiria]] na [[Kanisa Katoliki la Kimalankara]]. Kwa kiasi kikubwa liturujia hiyo ni pia ya [[Kanisa la Wamaroni]].