Liturujia ya Antiokia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
==Historia==
[[File:SyriacChurch-Mosul.jpg|right|thumb|Adhimisho la [[Kiorthodoksi la Kisiria]] katika [[monasteri]] ya [[Mosul]], (leo nchini [[Iraq]]), mwanzoni mwa [[karne ya 20]].]]
Liturujia hiyo ilitokana hasa na [[Liturujia ya Ugiriki|ile ya [[Kigiriki]] iliyotumiwa kwanza na [[Patriarki]] wa mji huo (kama [[Ignas wa Antiokia]] mwanzoni mwa [[karne ya 2]]), lakini, baada ya [[farakano]] la mwaka [[451]] lililofuata [[Mtaguso wa Kalsedonia]], [[Tafsiri|ilitafsiriwa]] katika [[lugha]] ya [[Kiaramu]], iliyokuwa ya kawaida zaidi katika maeneo yote ya kandokando.
 
Matini ya Kiaramu ya zamani zaidi yaliyobaki hadi leo ni ya [[karne ya 5]]<ref>''[[Testamentum Domini]]'', ed. by [[Ignace Ephrem II Rahmani|Ephrem Rahmani]], ''Life of Severus of Antioch'', sixth century.</ref> Yanatunza [[kumbukumbu]] muhimu kuhusu liturujia ilivyokuwa wakati huo, nazo zinatusaidia kufuatilia mabadiliko yaliyofanyika baadaye.