Liturujia ya Mesopotamia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d JPG -> SVG - better quality
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Amen in East Syriac Aramaic language.svg|thumb|120px|[[Amen]] kwa Kiaramu cha Mashariki.]]
[[Image:Assyrianmareliasnestorianbishop.jpg|thumb|right|150px|Mar Elias, [[askofu]] wa [[Kanisa la Waashuru|Kanisa la Mashariki]], [[karne ya 18]] - [[karne ya 19|19]].]]
'''Liturujia ya Mesopotamia''' ni [[liturujia]] maalumu yenye [[asili]] katika [[Mesopotamia]] ya kale, ambayo [[Mapokeo|kimapokeo]] inatajwa kama imetokana na [[Mtume Thoma]], na inatumiwa hasa na [[Wakristo]] [[Waashuru]] na [[Wakaldayo]] wa [[Iraq]] na nchi za kandokando, pamoja na [[Wamalabari]] wa [[India]] kusini, wengi wao wakiwa [[Wakatoliki]] na waliobaki [[Waorthodoksi wa Mashariki]], ambao wote wametokana na wale waliotengwa na [[Mtaguso wa Efeso]] ([[431]]).<ref>[http://books.google.com/books?id=otQeg8-xSlEC&pg=PA271&lpg=PA271&dq=Common+Christological+Declaration+between+the+Catholic+Church+and+the+Assyrian+Church+of+the+East&source=web&ots=Pi05Yxg7mK&sig=vAplJKOiYd2Tz-xIldCUwa7uyo4&hl=en&sa=X&oi=book_result&resnum=7&ct=result ]</ref><ref>Qurbana by Fr. Varghese Pathikulangara</ref>
Hata matoleo ya vitabu vya liturujia hiyo ni kiasi kikubwa yamefanywa na Wakatoliki. [[Lugha]] yake hasa ni [[Kiaramu]].
 
Hata matoleo ya [[vitabu]] vya liturujia hiyo nikwa kiasi kikubwa yamefanywa na Wakatoliki. [[Lugha]] yake hasa ni [[Kiaramu]].
 
==Liturujia ya Kimungu==
[[File:Kanjirappally Bishop Mar Mathew Arackal at Tomb of Mar Varghese Payyappilly Palakkappilly.jpg|thumb|right|[[Askofu]] wa [[Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabari]] akishika [[msalaba]] wa [[Mtume Thoma|Mar Thoma]] unaowakilisha [[urithi]] wa Wakristo Wamalabari.]]
Kuna [[anafora]] [[tatu]]: ''ya mitume [[Addai]] na [[Mari]]'', ''ya Mar [[Nestori]]'', na ''ya Mar [[Theodoro Mfafanuzi]]''. Kati yake, ya kwanza ndiyo ya kawaida zaidi.
[[Image:Assyrianmareliasnestorianbishop.jpg|thumb|right|150px|Mar Elias, [[askofu]] wa [[Kanisa la Waashuru|Kanisa la Mashariki]], [[karne ya 18]] - [[karne ya 19|19]].]]
Kuna [[anafora]] tatu: ''ya mitume [[Addai]] na [[Mari]]'', ''ya Mar [[Nestori]]'', na ''ya Mar [[Theodoro Mfafanuzi]]''. Kati yake, ya kwanza ndiyo ya kawaida zaidi.
 
Yanafanyika masomo matano, manne au walau matatu, kutoka: (a) [[Torati]]; (b) [[Manabii]], yaani vitabu vingine vya [[Agano la Kale]]; (c) [[Matendo ya Mitume]]; (d) [[Nyaraka]] za [[Mtume Paulo]]; (e) the [[Injili]]. Mawili ya mwisho hayaachwi kamwe.
 
==Kalenda==
[[Mwaka wa liturujia]] umegawanyika katika vipindi vya [[wiki]] sabasaba hivi, vinavyoitwa Shawu'i: [[Majilio]] (yanayoitwa Subara, "Kupashwa Habari"), [[Epifania]], [[Kwaresima]], [[Pasaka]], [[Mitume]], [[Joto]], [[Elia na Msalaba]], [[Musa]] na "Kutabaruku" (Qudash idta).
 
==Tanbihi==
Line 18 ⟶ 19:
==Viungo vya nje==
*{{CathEncy|url=http://www.newadvent.org/cathen/14413a.htm|title=East Syrian Rite}}
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Category:Liturujia]]