Monasteri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Monasterio Paular.jpg|right|thumb|200px|[[Monasteri ya Bikira Maria huko El Paular]], karibu na [[Madrid]], [[Hispania]]]]
'''Monasteri''' katika [[Ukristo]] ni [[jengo]] au majengo ya pamoja ambapo inaishi [[jumuia]] ya [[Wamonakiwamonaki]], chini ya [[mamlaka]] ya [[abati]]. Kila moja inaweza kujitegemea, ingawa pengine yameundwa [[mashirikisho]] ili kusaidiana na kuratibu [[malezi]] na masuala mengine ya pamoja.
 
Monasteri ni tofauti na [[konventi]], zilizoanzishwa na mashirika ya [[Ombaomba]], ambayo wanajumuia wake si wamonaki bali wanaitwa "ndugu".
 
Monasteri za Kikristo zilianza kujengwa baada ya kwisha kwa [[dhuluma]] za [[Dola la Roma]] dhidi ya Ukristo, ingawa hata kabla ya hapo kulikuwa na waamini wanaoshiwanaoishi namna fulani ya [[Utawa|maisha ya kitawa]].
 
Kwa [[karne]] nyingi monasteri zilikuwa kama [[mji]] mdogo unaojitegemea [[Uchumi|kiuchumi]] pia kutokana na mkazo uliowekwa katika [[Sala na kazi|kusali na kufanya kazi]].
 
Kuna monasteri hata katika ya baadhi ya [[dini]] nyingine, hasa [[Ubuddha]].
 
{{mbegu-dini}}
[[Jamii:Umonaki]]
 
[[Jamii:UmonakiWamonaki]]