Monasteri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Mor-mattai.png|thumb|Monasteri iliyoanzishwa na [[Mar Mattai]] aliyekimbilia [[Amid]] ([[Mesopotamia]]) wakati wa [[dhuluma]] za [[kaisari]] [[Juliano Mwasi]] ([[363]]).]]
[[File:Sumela From Across Valley.JPG|thumb|Monasteri ya [[Sumela]], kusini kwa [[Trabzon]], [[Uturuki]], ilijengwa katika [[karne ya 4]] (labda [[386]]).]]
[[File:Katharinenkloster Sinai BW 2.jpg|thumb|Monasteri ya [[Mt. Katerina wa Aleksandria]] juu ya [[Mlima Sinai]], mwanzo wa [[karne ya 6]].]]
[[Picha:Monasterio Paular.jpg|right|thumb|200px|Monasteri ya [[Bikira Maria]] huko El Paular, karibu na [[Madrid]], [[Hispania]].]]
[[File:Prokudin-Gorskii-09-edit2.jpg|thumb|Monasteri ya Mt. Nilus katika [[kisiwa]] [[Stolbnyi]] kwenye [[Ziwa Seliger]] karibu na [[Ostashkov]], [[Russia]], [[1910]] hivi.]]
'''Monasteri''' (kutoka [[Kiingereza]] "monastery") katika [[Ukristo]] ni [[jengo]] au majengo ya pamoja ambapo inaishi [[jumuia]] ya [[wamonaki]], chini ya [[mamlaka]] ya [[abati]]. Kila moja inaweza kujitegemea, ingawa pengine yameundwa [[mashirikisho]] ili kusaidiana na kuratibu [[malezi]] na masuala mengine ya pamoja.
 
Monasteri ni tofauti na [[konventi]], zilizoanzishwa na mashirika ya [[Ombaomba]], ambayo wanajumuia wake si wamonaki bali wanaitwa "ndugu".
Line 11 ⟶ 13:
 
Kuna monasteri hata katika ya baadhi ya [[dini]] nyingine, hasa [[Ubuddha]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Monasteries}}
* [http://www.sumela.org Sumela Monastery]
* [http://www.historyfish.net/monastics/monastics.html Public Domain photographs and texts, and information regarding medieval monasteries.]
* [http://www.vaticanoweb.com/monasteri/initalia.asp Monastery Italy]
* [http://monasteries.org.ua/en/searchmonasteries Monasteries Search] — UOC Synod Commission for Monasteries
* [http://monasteries.org.ua/en/geomaps/gmap Google-map] — UOC Synod Commission for Monasteries
{{RC consecrated life}}
 
{{mbegu-dini}}