Monasteri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
'''Monasteri''' (kutoka [[Kiingereza]] "monastery") katika [[Ukristo]] ni [[jengo]] au majengo ya pamoja ambapo inaishi [[jumuia]] ya [[wamonaki]], chini ya [[mamlaka]] ya [[abati]]. Kila moja inaweza kujitegemea, ingawa pengine yameundwa [[mashirikisho]] ili kusaidiana na kuratibu [[malezi]] na masuala mengine ya pamoja.
 
Monasteri ni tofauti na [[konventi]], zilizoanzishwa na [[mashirika ya [[Ombaombaombaomba]], ambayo wanajumuia wake si wamonaki bali wanaitwa "ndugu".
 
Monasteri za Kikristo zilianza kujengwa baada ya kwisha kwa [[dhuluma]] za [[Dola la Roma]] dhidi ya Ukristo, ingawa hata kabla ya hapo kulikuwa na waamini wanaoishi namna fulani ya [[Utawa|maisha ya kitawa]].
Mstari 24:
* [http://monasteries.org.ua/en/searchmonasteries Monasteries Search] — UOC Synod Commission for Monasteries
* [http://monasteries.org.ua/en/geomaps/gmap Google-map] — UOC Synod Commission for Monasteries
{{RC consecrated life}}
 
{{mbegu-dini}}