Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Nelson Mandela.jpg|thumb|Nelson Mandela]]
'''Nelson Rolihlahla Mandela''' ([[18 Julai]] [[1918]] - [[5 Desemba]] [[2013]]) alikuwa [[mwanasiasa]] nchini [[Afrika Kusini]], kiongozi wa mapambano dhidi ya [[siasa]] ya [[apartheid]] ([[ubaguzi wa rangi]] ([[apartheid|Apartheid)]], mfungwa [[jela]] kwa miaka 27 halafu [[rais]] wa kwanza aliyechaguliwa [[Demokrasia|kidemokrasia]] katika nchi yake.
 
Alikuwa [[mwanasheria]] na mwanachama, baadaye kiongozi wa [[Chama cha kisiasa|chama]] cha [[ANC]] kilichopigania [[haki za binadamu]] wote nchini Afrika Kusini.
Mstari 35:
Mwaka [[1937]] kwenye umri wa miaka 19 aliendelea kwenye [[chuo]] cha Wamethodisti huko [[Fort Beaufort{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=52|2a1=Smith|2y=2010|2pp=31–32|3a1=Meredith|3y=2010|3p=14|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=17–18}}. Hapo alikuwa mara ya kwanza [[rafiki]] na kijana nje ya kabila lake aliyekuwa [[Wasotho|Msotho]] akaathiriwa na mwalimu mpendwa Mxhosa aliyevunja [[mwiko]] kwa kumwoa mke kutoka kwa Wasotho {{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=53–54|2a1=Smith|2y=2010|2p=32|3a1=Meredith|3y=2010|3pp=14–15|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=18–21}} Mandela alitumia muda mwingi huko Healdtown kwa kufuata michezo ya kukimbia na [[bondia]].{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=56|2a1=Smith|2y=2010|2p=32|3a1=Meredith|3y=2010|3p=15}}
 
Tangu [[1939]] alianza masomo kwa [[digriishahada ya bachelor]]kwanza kwenye [[Chuo Kikuu cha Fort Hare]], chuo kwa ajili ya wanafunzi [[Waafrika]] katika jimbo la [[Rasi Mashariki]]. Masomo yake yalikuwa Kiingereza, [[anthropolojia]], siasa na [[sheria]]. Wakati ule alitaka kuendelea kuwa mfasiri au [[afisa]] katika Idara ya Shughuli za Wazalendo (kitengo cha serikali ya Kizungu kwa maeneo ya Waafrika katika Afrika Kusini).
{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=62–65|2a1=Lodge|2y=2006|2p=9|3a1=Smith|3y=2010|3pp=33–34|4a1=Meredith|4y=2010|4pp=15–18|5a1=Sampson|5y=2011|5pp=21, 25}} Katika bweni lake alikuwa rafiki wa [[Kaiser Matanzima]] na [[Oliver Tambo]] aliyeendelea kuwa rafiki yake kwa miaka mingi ijayo.{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=62–63|2a1=Smith|2y=2010|2pp=33–34|3a1=Meredith|3y=2010|3pp=17–19|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=24–25}}
Pamoja na kupenda michezo Mandela alijifunza [[dansi]] ya Kizungu {{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=67–69|2a1=Smith|2y=2010|2p=34|3a1=Meredith|3y=2010|3p=18|4a1=Sampson|4y=2011|4p=25}}, alishiriki tamthiliya kuhusu about [[Abraham Lincoln]],{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=68|2a1=Lodge|2y=2006|2p=10|3a1=Smith|3y=2010|3p=35|4a1=Meredith|4y=2010|4p=18|5a1=Sampson|5y=2011|5p=25}} akatoa darasa la [[Biblia]] katika kanisa.{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=68|2a1=Lodge|2y=2006|2p=10|3a1=Meredith|3y=2010|3p=18|4a1=Forster|4y=2014|4p=93}}
 
 
 
 
Mandela alihukumiwa [[kifungo]] cha maisha kwa miaka 27 kutokana na [[harakati]] zake za kuupinga ubaguzi wa rangi. Alifungwa katika [[kisiwa cha Robben]].
Line 48 ⟶ 45:
Mwaka wa [[1993]], pamoja na [[Frederik Willem de Klerk]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Amani''' ambayo ni [[tuzo]] ya nadra sana kutolewa [[duniani]].
 
AliyekuwaBaada [[mke]]ya maarufukutengana wana Nelsonmke Mandelawake, [[Winnie Madikizela]], baadaalimuoa ya kutengana naye aliwahialiyewahi kuwa mke wa rais wa [[Msumbiji]], [[Samora Machel]]., [Graca Machel]
 
==Marejeo==