Kinyonga (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
==Mahali pake==
Kinyonga iko karibu na [[ncha ya anga]] ya kusini. Inapakana na kundinyota [[Nzi (kundinyota)|Nzi]] (''[[:en: Musca| Musca]]''), Carina na Volans upande wa kaskazini, Mensa upande wa mashariki, Octans upande wa kusini na Apus upande wa magharibi. .
 
==Jina==
Kinyonga ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu kuzunguka dunia yote yaani karne ya 16. Hazikujulikani kwa Wagiriki wa Kale au Waarabu waliojifunza kutoka kwao. Kundinyota hii ilielezwa mara ya kwanza na mabaharia Waholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] na Frederick de Houtman katika safari yao ya kuelekea [[Indonesia]] zikaonyeshwa mara ya kwanza mwaka 1598 katika atlasi ya nyota ya [[Petrus Plancius]]. Baadaye ilipokelewa katika "Uranometria" ya [[Johann Bayer]]<ref>Allen (tazama marejeo) hakuwa na habari za Placius hivyo aliandika ni Bayer aliyetangaza Kinyonga mara ya kwanza.</ref>.