Chupa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Chupa yenye kioo '''Chupa''' ni chombo kinachotumika kubeba maji.Chupa inaweza kuwa na ukubwa tofauti.Kwa ka...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:32, 1 Oktoba 2017

Chupa ni chombo kinachotumika kubeba maji.Chupa inaweza kuwa na ukubwa tofauti.Kwa kawaida chupa inaweza kutengenezwa kwa plastiki au kioo.Kwa kawaida, chupa za bia hutengenezwa kwa kioo, na vinywaji vyenye laini hutengenezwa kwa plastiki.

Chupa yenye kioo