Nas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 24:
Nas alisaini mkataba na studio ya [[Columbia Records]] mnamo mwaka wa [[1994]], na kutoa albamu yake ya kwanza ya [[Illmatic]]. Albamu ya Illmatic ilipata kuwa bora na kufahamika zaidi na mauzo bora.
 
Baadaye albamu kadhaa za Nas zilifuata. Albamu hizo ni pamoja na [[It Was Written]] ya 1996, [[I Am... and Nastradamus]] ya 1999, na [[Stillmatic]] ya 2001. Nas alikuwa mmoja kati ya wanakundi la muziki wa rapnarap na hip hop - [[The Firm]], ambalo limejumlishalimejumuisha wasanii wengine kama vile [[AZ]], [[Foxy Brown]], na [[Nature]]. Ingawa, kundi halikufanya kazi nyingi nalilifanikiwa badal yake wakatoakutoa albamu moja tu ya pamoja.
 
Kuanzia mwaka 2001 hadi`2005, Nas aliusishwa katika ugomvi mkubwa na rapa mwenziwe Bw. [[Jay-Z]]. Marapa wote walikuwa wakishambuliana kwa kutumia nyimbo zao.
 
Wawili hao ugomvi wao ukaja kwisha baada ya kualikwa katika tamshatamasha la muziki la New York City-area hip-hop za vituo vya redio. Nas akasaini mkataba na studio ya Jay-Z maarufu kama [[Def Jam]] mnamimnamo mwaka [[2006]].
 
Albamu yake ya kwanza akiwa kama mmoja wa Def Jam, ilitoka mwaka wa 2006, ikiwa na jina la Hip Hop is Dead, ikiwa imeambatana na albamu nyingine ya mwaka wa 2008, iliyokwenda kwa jina la [[Untitled]].<ref>{{cite web | title = SoundCircuit.com: Artists: Tributes: Nas | url = http://www.soundcircuit.com/artists/tributes/nas.php | accessdate = 2006-09-06}}</ref>