Posta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
Kama huduma ya posta inaendeshwa na serikali inakuja na [[ahadi]] ya kufikisha barua kila mahali katika nchi. Huduma za binafsi mara nyingi zinafikisha tu mahali ambako zina [[ofisi]] zao.
[[Picha:French-postpostbox at Dinard–Pleurtuit–Saint-Malo Airport.jpg|300px|thumb|Sanduku la kuwekea barua nchini [[Ufaransa]].]]
==Huduma hadi nyumbani au sanduku la Posta==
Katika nchi nyingi barua na vifurushi vinapelekwa hadi [[nyumba]] ya mpokeaji au [[anwani]] inayotajwa. Katika nchi nyingine barua zinapelekwa tu hadi ofisi ya posta na kuwekwa pale katika [[sanduku la posta]] yenye [[namba]] fulani.