Tewodros II : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: bg:Теодрос II
add image (from Images for biographies)
Mstari 1:
[[Image:Emp Tewodros supervising crossing of the Blue Nile mod Pur.jpg|thumb|right|Tewodros II]]
'''Tewodros II''' (takriban 1818 – [[13 Aprili]], [[1868]]) alikuwa mfalme mkuu wa [[Uhabeshi]] kuanzia [[11 Februari]], [[1855]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Yohannes III]] aliyeuzuliwa naye. Jina lake la kubatizwa lilikuwa ''Kassa Haile Giyorgis''. Ingawa hakuwa mrithi wa ufalme aliwashinda wagombea wote vitani. Waingereza walipovamia Uhabeshi chini ya kamanda ya [[Robert Napier]] na kushinda jeshi la Uhabeshi, Tewodros II alijiua. Aliyemfuata ni [[Tekle Giyorgis II]].