Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

135 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
Sawa na suala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.
 
* [[Shirika la Afya Duniani]] (WHO) lilitoa ufafanuzi ufuatao: "Afya ni hali ya [[ustawi]] kamili kimwili, kiroho na ki[[jamii]] na zaidi ya kukosa ugonjwa." <ref><nowiki>http://www.who.int/bulletin/archives/80(12)981.pdf ''WHO definition of Health''</nowiki></ref>
 
* [[Mwanafalsafa]] [[Friedrich Nietzsche]]: "Afya ni [[kiwango]] cha ugonjwa kinachoniruhusu kutekeleza [[shughuli]] zangu muhimu."
 
* [[Mwanasosholojia]] [[Talcott Parsons]]: "Afya ni hali ya [[mtu]] kuwa na [[uwezo]] bora wa kutekeleza shughuli alizofundishwa kukubali kama [[wajibu]] wake." <ref>https://www.cliffsnotes.com/study-guides/sociology/health-and-medicine/sociological-perspective-on-health "Makala inayomnukuu Talcott Parsons"</ref>
 
* Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na [[maumivu]] na [[udhaifu]], pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba [[hisia]] hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.