Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita"

→‎Vipi!: mjadala mpya
d (Automatic message fix)
(→‎Vipi!: mjadala mpya)
==Ethnologue.com==
Salaam Oliver. Je utapata nafasi ya kutunga makala kuhusu [[Ethnologue.com]]?. yaani sasa hivi narejea namba zake na wewe ulifanya mara nyingi sana nadhani ni vema kama tuna mahali panapoonekana kwa nini sisi tunategemea mara nyingi chanzo hiki na sifa zake. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 21:20, 27 Aprili 2017 (UTC)
 
== Vipi! ==
 
Vipi ndugu. Mzima? Tumerudi na tuendelee kukuza maarifa na lugha! --'''[[Mtumiaji:Ndesanjo|Ndesanjo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Ndesanjo|majadiliano]])''' 05:37, 3 Oktoba 2017 (UTC)