Pieter Dirkszoon Keyser : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Johann Bayer - Uraniometria - Southern Birds.jpg|450px|thumb|Ramani ya kundinyota zilizobuniwa na Keyser karibu na ncha ya angani ya kusini , kutoka atlasi ya nyota Uramometria ya [[Johann Bayer]]]]
 
'''Pieter Dirkszoon Keyser''' aliyeitwa pia Petrus Theodorus (* 1540 mjini [[Emden]], Ujerumani; † 11. Septemba 1596 [[Java]], Indonesia ya leo) alikuwa mbaharia katika utumishi wa [[Shirika ya Kiholanzi kwa Uhindi ya Mashariki]] (ing. ''[[:en:Dutch East India Company|Dutch East India Company]]''). Alifundishwa na [[Petrus Plancius]] elimu ya nyota na uchoraji wa ramani ya nyota. Mwaka 1595 alikuwa nahodha wa safari ya kwanza ya Waholanzi kuelekea "Uhindi ya Mashariki" yaani visiwa vya Indonesia. Katika safari hii alichora ramani za nyota za [[nusutufe ya kusini]] ambazo kwa jumla hazikujulikana bado huko Ulaya na kubuni kundinyota 12 mpya<ref>[http://articles.adsabs.harvard.edu//full/1917MNRAS..77..414K/0000414.000.html Knobel, E. B. On Frederick de Houtman's catalogue of southern stars, and the origin of the southern constellations], Monthly Notices of the Royal Astronomical Society, Vol. 77, p.414-432, (March 1917). Tovuti ya harvard.edu, iliangaliwa Oktoba 2017</ref>.
 
Keyser alifariki kwenye safari hii mwaka 1596. Mwakilishi wa shirika Frederick de Houtman alirudi na ramani zake Uholanzi na kuzikabidhi kwa Plancius aliyezitumia katika atlasi yake ya nyota ya mwaka 1598.