Joseph Mbilinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Muddyb alihamisha ukurasa wa Joseph Osmund Mbilinyi hadi Joseph Mbilinyi: Jina maarufu kwa waliowengi
+kuboresha makala
Mstari 1:
'''Joseph Osmund Mbilinyi''' Amezaliwa(amezaliwa [[1 Mei]] [[1972]]) ni rapa, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa kutoka nchini [[mwanasiasaTanzania]]. Anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama '''Mr. II''' na '''Sugu''' au '''2-proud'''. Huyu ni miongoni mwa waanzilishi wa mwanzo kabisa wa [[Mtanzaniahip hop ya Tanzania]]. Kwanza akiwa na mwanachama[[Da Young Mob]], ambao alishirikiana nao katika kinyang'anyiro cha [[Yo Rap Bonanza]] iliyokuwa inaandaliwa na akina Kim the Boyz na Ibony Moalim katika miaka ya 1990 kabla ya kwenda kuwa rapa wa kujitegemea na kutoka albamu ya kwanz iliyokwenda kwa jina la [[Ni Mimi]] mnamo mwaka wa 1995. Vivile Sugu ni [[mwanasiasa]] wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] ([[CHADEMA]]). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[ Mbeya Mjini]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]]. <ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/239 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref><ref>[http://www.univie.ac.at/ecco/stichproben/Nr5_Englert.pdf Microsoft Word – Stichproben_Nr5_FERTIG.doc<!-- Bot generated title -->]</ref>
<ref name="stylusmagazine.com">[http://www.stylusmagazine.com/articles/pop_playground/bongoflava-the-primer.htm Bongoflava: The Primer – Pop Playground – Stylus Magazine<!-- Bot generated title -->]</ref>
==Diskografia==
Mr. II ndiyo msanii pekee wa [[hip hop ya Tanzania]] ambaye katoa albamu nyingi:
 
* [[Ni Mimi]] (1995)
* [[Ndani ya Bongo]] (1996)
* [[Niite Mister II]] (1998)
* [[Nje ya Bongo]] (1999)
* [[Millennium]] (2000)
* [[Muziki na Maisha]] (2001)
* [[Itikadi]] (2002)
* [[Sugu (albamu)|Sugu]] (2004)
* [[Coming of Age-Ujio Wa Umri]] (2006)
* [[VETO]] (2009)
* Antivirus Mixtapes
 
 
==Marejeo==
<references/>
Line 5 ⟶ 22:
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1972]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]