Twiga (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
 
==Jina==
Twiga ni kati ya kundinyota zilizobuniwa tangu mabaharia Wazungu walizunguka dunia yote yaani karne ya 16 na hapo wanaastronomia wa Ulaya walilenga kuchora ramani ya nyota zote. Wagiriki wa Kale hawakujaribu kupanga nyota zake hafifu kati ya kundinyota walizojua. Mholanzi [[Petrus Plancius]].aliwahi kupokea taarifa ya mabaharia waliochora nyota za kusini halafu akajitahidi kujaza eneo lote la angani kwa kupaga nyota zote kwa kundinyota. Hapo alitambua pengo katika kaskazini akaunda kundinyota za Twiga na [[MonukeroMunukero (kundinyota)|MonukeroMunukero]] (Monoceros).
 
Plancius alitumia jina la Camelopardalis kwa mnyama wa twiga maana Wazungu hawakujua mnyama huyu na kutokana na maelezo waliona ana shingo ndefu kama ngamia (''camel'') halafu ndoa kama chui (''pardalis'' kwa [[Kigiriki]]).
 
Leo Camelopardalis - Twiga iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Cam'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
 
==Nyota==