Alama : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Alama''' Ni maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu,sehemu n.k'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Big_Foot_(6225546731).jpg|thumb|Alama asili katika [[mazingira]] inayodokeza na kuthibitisha uwepo wa [[mtu]] hivi karibuni.]]
'''Alama''' Ni maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu,sehemu n.k
[[File:Biohazard.svg|thumb|Alama ya [[hatari ya kibiolojia]] haihusiani nayo kabisa.]]
'''Alama''' (kwa [[Kiingereza]] "sign"<ref>New Oxford American Dictionary</ref>) ni [[kitu]], [[mchoro]], [[maandishi]], [[kifaa]] ambacho hutambulisha kitu kingine, [[tukio]], sehemu n.k.
 
Baadhi yake ni asili, kwa mfano [[radi]] ya [[umeme]] na [[dalili]] za [[ugonjwa]].
 
Baadhi zimetungwa na [[binadamu]], kwa mfano vituo katika maandishi na vitendo vya [[mikono]] wakati wa kuongea.
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Falsafa]]