Konklevu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Konklevu''' (kutoka Kilatini "cum clave", yaani "kwa ufunguo", kupitia Kiingereza "conclave") ni mkutano maalumu ya makardinali wot...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:50, 5 Oktoba 2017

Konklevu (kutoka Kilatini "cum clave", yaani "kwa ufunguo", kupitia Kiingereza "conclave") ni mkutano maalumu ya makardinali wote wenye umri chini ya miaka 80 unaofanyika ili kumchagua askofu wa Roma, maarufu kama Papa wa Kanisa Katoliki.

Lengo la kujifungia ndani ni kuzuia wasiingiliwe na watu wa nje, hasa watawala, ambao wanaweza kuwa na malengo tofauti na yale ya kiroho.

Marejeo

Viungo vya nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konklevu kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.