Jiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 17:
Jiji hutafsiriwa mara nyingi kwa neno "city" kwenye lugha ya [[Kiingereza]] lakini "city" haina sifa maalumu zinazokubaliwa katika [[Uingereza]] au [[Marekani]]. Kuna miji midogo inayoitwa "City" pia.
 
 
== Majiji makubwa ya dunia ==
 
Leo hii kuna majiji 20 yenye wakazi zaidi ya milioni 10:
 
* [[Tokyo]], [[Japani]] - wakazi milioni 28
* [[Mexico City]], [[Mexico]] - wakazi milioni 18
* [[Mumbai]], [[Uhindi]] - wakazi milioni 18
* [[São Paulo]], [[Brazil]] - wakazi milioni 18
* [[New York City]], [[Marekani]] - wakazi milioni 17
* [[Shanghai]], [[China]] - wakazi milioni 14
* [[Lagos]], [[Nigeria]] - wakazi milioni 13
* [[Los Angeles]], Marekani - wakazi milioni 13
* [[Kalkutta]], Uhindi - wakazi milioni 13
* [[Buenos Aires]], [[Argentina]] - wakazi milioni 12
* [[Seoul]], [[Korea ya Kusini]] - wakazi milioni 12
* [[Beijing]], China - wakazi milioni 12
* [[Karachi]], [[Pakistan]] - wakazi milioni 11
* [[New Delhi]], Uhindi - wakazi milioni 11
* [[Dhaka]], [[Bangladesh]] - wakazi milioni 11
* [[Manila]], [[Ufilipino]] - wakazi milioni 11
* [[Cairo]], [[Misri]] - wakazi milioni 11
* [[Osaka]], [[Japani]] - wakazi milioni 11
* [[Rio de Janeiro]], [[Brazil]] - wakazi milioni 11
* [[Toronto]], [[Kanada]] - wakazi milioni 8
* [[Johannesburg]], [[Afrika Kusini]] - wakazi milioni 7
 
== Majiji makubwa ya Africa ==