Jiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 10:
== Mji mkubwa kwa kanuni za takwimu ==
Kimataifa kulikuwa na makubaliano kwenye mkutano wa kimataifa ya takwimu ya mwaka 1887 ya kuhesabu kila mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 kama "mji mkubwa", miji kati ya wakazi 20,000 na 100,000 kama miji ya wastani na miji kati ya wakazi 5,000 na 20,000 kama miji midogo. Kufuatana na hesabu hii kulikuwa na miji mikubwa 1,700 duniani wakati wa mwaka 2002.
 
== Jiji na City ==
Jiji hutafsiriwa mara nyingi kwa neno "city" kwenye lugha ya [[Kiingereza]] lakini "city" haina sifa maalumu zinazokubaliwa katika [[Uingereza]] au [[Marekani]]. Kuna miji midogo inayoitwa "City" pia.
 
 
== Majiji makubwa ya Africa ==