Arthur Schopenhauer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimeongeza ujumbe.
dNo edit summary
Mstari 34:
 
Alisema kwamba mafunzo haya hayakuwa na asili nayeye. Hapo mbeleni ilionekana kwa maandishi ya Plato, Seneca, Hobbes, Pufendorf, na Anselm Feuerbach. Schopenhauer alitangaza ya kwamba maadishi haya yalichafuliwa na makosa yaliyofuata na kwa hivyo ilikua na haja ya ufafanuzi.
 
== Dhana ya kisiasa na ya kijamii ==
 
=== Siasa ===
Siasa za Schopenhauer zilikuwa, kwa sehemu kubwa, marejeleo ya mfumo wake wa maadili (ya jamii ilipata sauti kwa ''Die beiden Grundprobleme der Ethik,'' inayopatikana kwa kiingereza kwa vitabu viwili, ''On the Basis of Morality'' na ''On the Freedom of the Will'' ). Maadili pia ilimiliki karibu robo ya kazi yake kuu, ''Dunia kama Willi na Uwakilishi''. 
 
Katika maoni ya mara kwa mara ya siasa katika kazi zake za ''Parerga and Paralipomena'' na ''Manuscript Remains'', Schopenhauer anajieleza mwenyewe kama mpendekezi wa serikali finyu. Cha mno, alidhani, ni kuwa serikali inapaswa “kuwacha kila mtu huru ajitafutie wokovu wake mwenyewe”,  na ikiwa serikali itasita kudoea au kuingilia haya, yeye alipendekeza zaidi “afadhali kutawaliwa na simba kuliko panya wenzake”- hiyo nikumaanisha, na mfalme, kuliko kiongozi wa demokrasia. Schopenhauer aliunga mkono maoni ya Thomas Hobbes ya umuhimu wa serikali, na wa utendakazi wake, kuchunga mielekeo yetu ya uharibufu ambayo ni ya undani na imeambatana na asili ya aina yetu. Yeye bado alitetea tawi huru za utunga-sheria, mahakama, na utekelezaji za nguvu, na aliona mfalme kama kipengele huru ambacho kinaweza tekeleza haki (anamaanisha katika matumizi ya kila siku, sio kwa maana ya kikosmologia). Alitangaza ufalme kama “kile ambacho ni cha hali ya kawaida kwa binadamu” kwani “uerevu daima chini ya serikali ya ufalme umekua ukipata nafasi bora zaidi kupiku adui wake mkuu, ujinga” alihujumu ujamhuri kama “yasiyo asili kwani inasusia hatua za uerevu wajuu, sanaa na sayansi”
 
{{DEFAULTSORT:Schopenhauer, Arthur}}