Konklevu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Fumo negro.jpg|thumb|right|''[[Moshi]] mweusi'' kutoka [[Kikanisa cha Sisto IV]] ni [[ishara]] ya kwamba Papa mpya hajachaguliwa.<ref name=Fumata-SmokeSignal>{{cite news|last=Chumley|first=Cheryl K.|title=What Do American Catholics Want in the Next Pope?|url=http://nation.foxnews.com/catholic-church/2013/03/12/what-do-american-catholics-want-next-pope|accessdate=15 March 2013|newspaper=Fox News|date=12 March 2013|agency=The Washington Times|location= }}</ref>]]
[[File:Fumo branco.jpg|thumb|right|''Moshi mweupe'' ni ishara ya kwamba Papa mpya amechaguliwa.<ref name=Fumata-SmokeSignal />]]
'''Konklevu''' (kutoka [[Kilatini]] "cum clave", yaani "kwa ufunguo", kupitia [[Kiingereza]] "conclave") ni [[mkutano]] maalumu ya [[kardinali|makardinali]] wote wenye [[umri]] chini ya miaka 80 unaofanyika ili kumchagua [[askofu]] wa [[Roma]], maarufu kama [[Papa]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
Line 4 ⟶ 6:
 
Kwa sasa kuna taratibu nyingi zilizopangwa kinaganaga, ambazo mojawapo ni kwamba wapigakura wasizidi 120.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Marejeo ==