Petrus Plancius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
1595 Plancius alimwomba nahodha Mholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] kukusanya vipimo vya nyota za kusini zisizopimwa bado akazipanga kwa kundinyota mpya 12 na hizi zilikuwa [[Nzi (kundinyota)|Nzi]] (Musca), [[Ndege wa Peponi (kundinyota)|Ndege wa Peponi]] (Apus), [[Kinyonga (kundinyota)|Kinyonga]] (Chamaeleon), [[Panji (kundinyota)|Panji]] (Dorado), [[Kuruki (kundinyota)|Kuruki]] (Grus), [[Nyoka Maji (kundinyota)|Nyoka Maji]] (Hydrus), [[Mhindi (kundinyota)|Mhindi]] (Indus), [[Tausi (kundinyota)|Tausi]] (Pavo), [[Zoraki (kundinyota)|Zoraki]] (Phoenix), [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)|Pembetatu ya Kusini]] (Triangulum Australe), [[Tukani (kundinyota)|Tukani]] (Tucana) na [[Panzimaji (kundinyota)|Panzimaji]] (Volans) akaziweka yote katika [[globus]] yake ya nyota.
 
Mwaka 1612 aliongeza kundinyota mbili kwenye nusutufe ya kaskazini akipanga humo nyota ambazo hazikuwa bado sehemu ya kundinyota zilizojulikana. Hizi ni [[Twiga (kundinyota)|Twiga]] (Camelopardalis) karibu na [[ncha ya anga]] ya kaskazini na [[Munukero (kundinyota)|Munukero]] (Monoceros) kwenye [[ikweta ya anga]].
 
Kundinyota zake zilipokelewa vile baadaye na [[Johann Bayer]] katika orodha yake na kutumiwa hadi leo katika orodha ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]].