Arthur Schopenhauer : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +++
d nimeongeza links kiasi
Mstari 1:
Arthur Schopenhauer  (22 Februari 1788 - 21 Septemba 1860) alikuwa mwanafalsafa[[Mwanafalsafa]] wa [[Ujerumani]]. Yeye anajulikana kwa kazi yake ya 1818 [[The World as Will and Representation]] "Dunia kama Willi na Uwakilishi" (kupanuliwa mwaka wa 1844), ambako anafafanua ulimwengu wa matukio kuwa uzao wa dhamira yakimetafizikiayaki[[metafizikia]] ambayo ni kipofu na isiyotosheka. Kutoka kwa dhana vukavu bara la uzoefu (Transendental idealism) ya [[Immanuel Kant]], Schopenhauer alibuni mfumo wa kimetafizikia na wa kimaadiliki[[Maadili]] ambao haukuwa na Mungu ambao umeelezewa kuwa mfano wa falsafa za uhasi wa maisha (philosophical pessimism). Alikataa falsafa za rika lake za dhana kwamba ulimwengu ulitegemea michakato ya kikakili kwa kuwepo kwake; dhana zilizotawala falsafa za Ujerumani Karne hio(German Idealism). Schopenhauer alikuwa miongoni mwa wasomi wa kwanza katika falsafa  ya Magharibi kushiriki na kuthibitisha mambo muhimu ya falsafa ya Mashariki (kwa mfano, utawa, ulimwengu-kama-kuonekana), baada ya kufikia hitimisho sawa kama matokeo ya kazi yake ya falsafa.  
 
Ingawa kasi yake haikupata umaarufu  wakutajika wakati alikua hai, Schopenhauer amekua na ushawishi mkubwa baada ya kifo chake kupitia kazi zake katika nyanja kadhaa, zikiwemofalsafa, fasihi na sayansi.
 
Maandishi yake juu ya esthete, maadili na saikolojia ilikua na ushawishi wa mkubwa kwa wasomi na wasanii wengi wa karne za 19 na 20. Wale wamemtaja nikama [[Friedrich Nietzsche]],<sup> [16[Albert Einstein]]</sup> Richard Wagner, Leo Tolstoy, Ludwig Wittgenstein,<sup>[17]</sup> Erwin Schrödinger, Otto Rank, Gustav Mahler, Joseph Campbell, Albert Einstein,<sup>[18]</sup> Carl Jung, Thomas Mann, Emile Zola, George Bernard Shaw,<sup>[19]</sup> Guy de Maupassant, Jorge Luis Borges na Samuel Beckett.<sup>[20]</sup>
 
= Fikira =
Mstari 10:
Makala kuu: Dunia kama Willi, na Uwakilishi
 
Lengo muhimu la Schopenhauer ilikuwa uchunguzi wake wa [[motisha ya mtu binafsi. Kabla ya Schopenhauer, Hegel alikua amemaarufisha dhana ya '''''Zeitgeist''''', dhana kwamba jamii ikona fahamu unganifu ya pamoja ambayo inayosafiri kwa njia teule, na inatawala vitendo vya wanachama wake. Schopenhauer, msomaji wa Kant na Hegel Wote, alikashifu dhana zao za mantiki chanya (Logical optimism) na imani kwamba maadili ya mtu binafsi inaweza kuongozwa na jamii au sababu tupu. Schopenhauer alishikilia imani kuwa binadamu alipata motisha kwa msingi ya uchu na dhamira zao wenyewe au Wille zum Leben ( "willi wa kuishi"), ambayo yote ya wanadamu huelekezwa. Willi, kwa mujibu wa Schopenhauer, ni kile Kant alichoita "kitu-ndani-yenyewe". [39]
 
Kwa Schopenhauer, tamaa ya kibinadamu haikuwa na maana, haijulikani, haielewi, na, kwa upanuzi, hivyo hatua zote zakibinadamu zinaambulia patupu. Einstein alifalisi maoni haya kama ifuatavyo: "Mtu anaweza kufanya kile anachotaka, lakini hawezi willi kile anachotaka." Kwa maana hii, alizizingatia kanuni ya Fichte yaulimwengu akili-tegemezi: "Dunia ni kwa raia." Dhana hii umewasilishwa jinsi kwamba, hutumika moja kwa moja kwa kubuni mtazamo wa kimaadili, hii ni kinyume na Descartes na Berkeley waliozingatia masuala ya kiepistemologia pekee yake. Kwa mujibu wa Schopenhauer, Willi ni nguvu kipofu ambayo inatawala,sit u matendo ya watu binasfi, ihali maumbile yote ulimwenguni – na ni uovu ambao unapasawa kumalizwa na majukumu ya wanadamu: utawa na usafi wa moyo [40]. Ametambuliwa na kati moja ya mistari ya ufunguzi maarufu zaidi katika falsafa: "Dunia ni uwakilishi wangu." Friedrich Nietzsche aliathiriwa sana na wazo hili la Willi, ingawa hatimaye aliukataa.