Petrus Plancius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Petrusplancius.gif|thumb|200px|Petrus Plancius. J. Buys/Rein. Vinkeles (1791).]]
'''Petrus Plancius''' ([[1552]][[15 Mei]] [[1622]]) alikuwa mwanatheologia[[mwanatheolojia]], [[mchungaji]] wa [[Kanisa]] [[wakalvini|la Kireformed]], [[mwanaastronomia]] na [[mchoraji]] wa [[ramani]] kutoka [[Flandria]] aliyeishi miaka mingi huko [[Uholanzi]].
 
Tangu mwaka [[1589]] alianza kuchora ramani za [[nyota]] ambako aliingiza mara ya kwanza [[kundinyota]] nyingi za [[nusutufe ya kusini]] zilizoanza kujulikana [[Ulaya]] baada ya [[Baharia|mabaharia]] wa Ulaya kuzunguka [[dunia]] yote. Hapo alichora mara ya kwanza [[Salibu]], [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)|Pembetatu ya Kusini]] na [[Mawingu ya Magellan]].
 
Mwaka [[1595]] Plancius alimwomba [[nahodha]] Mholanzi [[Pieter Dirkszoon Keyser]] kukusanya vipimo vya nyota za kusini zisizopimwa bado, akazipanga kwakatika kundinyota mpya 12 na hizi zilikuwa [[Nzi (kundinyota)|Nzi]] (Musca), [[Ndege wa Peponi (kundinyota)|Ndege wa Peponi]] (Apus), [[Kinyonga (kundinyota)|Kinyonga]] (Chamaeleon), [[Panji (kundinyota)|Panji]] (Dorado), [[Kuruki (kundinyota)|Kuruki]] (Grus), [[Nyoka Maji (kundinyota)|Nyoka Maji]] (Hydrus), [[Mhindi (kundinyota)|Mhindi]] (Indus), [[Tausi (kundinyota)|Tausi]] (Pavo), [[Zoraki (kundinyota)|Zoraki]] (Phoenix), [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)|Pembetatu ya Kusini]] (Triangulum Australe), [[Tukani (kundinyota)|Tukani]] (Tucana) na [[Panzimaji (kundinyota)|Panzimaji]] (Volans) akaziweka yotezote katika [[globus]] yake ya nyota.
 
Mwaka [[1612]] aliongeza kundinyota [[mbili]] kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] akipanga humo nyota ambazo hazikuwa bado sehemu ya kundinyota zilizojulikana. Hizi ni [[Twiga (kundinyota)|Twiga]] (Camelopardalis) karibu na [[ncha ya anga]] ya [[kaskazini]] na [[Munukero (kundinyota)|Munukero]] (Monoceros) kwenye [[ikweta ya anga]].
 
KundinyotaBaadaye kundinyota zake zilipokelewazilipokewa vile baadaye na [[Johann Bayer]] katika orodha yake na kutumiwa hadi leo katika orodha ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]].
 
===Ramani===
Mstari 24:
* [http://www.ianridpath.com/startales/startales1c.htm Star Tales] – the constellations of Petrus Plancius
* [http://ssd.jpl.nasa.gov/sbdb.cgi?sstr=10648+Plancius Minor planet 10648 Plancius]
 
{{mbegu-mwanasayansi}}
 
[[Jamii:Kundinyota]]