Madhehebu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 19:
 
==Madhehebu katika Ukristo==
Wafuasi wa dini ya [[Ukristo]], kutokana na [[wingi]] wanagawanyikawao katika [[urefu]] wa [[historia]] na [[upana]] wa [[jiografia]], wamegawanyika katika madhehebu mengi, kuanzia [[Kanisa Katoliki]], [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] hadi makundi maelfu ya [[Uprotestanti]] ambayo yalitokea hasa kuanzia [[karne XVI]] na yanazidi kuongezeka siku kwa siku.
 
Pengine madhehebu kadhaa yanayojitegemea yanaweza kutazamwa kama jamii moja kutokana na asili, historia na misimamo yake (k.mf. Ushirika wa [[Anglikana]] au [[Makanisa Katoliki ya Mashariki|riti za mashariki]] na [[Kanisa la Kilatini|magharibi]] za Kanisa Katoliki).
 
Baadhi ya Wakristo wanaona ma[[farakano]] hayo kuwa mabaya sana, wakizingatia ombi la [[Yesu]] kwamba wafuasi wake wawe na [[umoja]] ili ulimwengu upate kumuamini. Kwa sababu hiyo wanashughulikia [[ekumeni]] ili kurudisha umoja kamili kati yao bila kufuta tofauti zisizovuruga umoja wa msingi.
 
==Madhehebu katika Uislamu==